KHABIB AWATWANGA MCGREGOR NA MPAMBE NDANI NA NJE YA ULINGO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KHABIB AWATWANGA MCGREGOR NA MPAMBE NDANI NA NJE YA ULINGO

Mrusi Khabib Nurmagomedov (kulia) akitembea kibabe baada ya kummaliza mpinzani wake, Conor McGregor katika raundi ya nne alfajiri ya leo kwenye pambano la ubingwa wa UFC 229 uzito wa Light. Nurmagomedov aliruka ulingo kwenda kupigana na rafiki wa McGregor, Dillon Danis. Na ulingoni mmoja wa wapambe wa Khabib akampiga kichwani McGregor na kuzua tafrani kubwa ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More