Khalifa Suleiman amrithi Maalim Seif nafasi ya U-Katibu Mkuu CUF (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Khalifa Suleiman amrithi Maalim Seif nafasi ya U-Katibu Mkuu CUF (Video)

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemtangaza Khalifa Suleiman Khalifa kuwa katibu mkuu wa chama hicho.


View this post on Instagram

#bongo5updates Chama Cha CUF kimemtangaza Suleiman Khalifa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama hicho.

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on Mar 16, 2019 at 4:37am PDT

Mbali na Khalifa, Profesa Lipumba pia amemtangaza mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya kuwa naibu katibu mkuu Bara na Fakhi Suleiman Khatibu kuwa naibu katibu mkuu Zanzibar.


View this post on Instagram

#bongo5updates Mwenyekiti wa CUF, Prof Lipumba akimtangaza Magdalena Sakaya kuwa Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CUF Bara.

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on Mar 16, 2019 at 4:42am PDT

Profesa Lipumba amemtangaza Khalifa ambaye ni mbunge wa zamani wa Gando kuchukua nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad leo Jumamosi Machi 16, 2019 makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam.

Katibu mkuu huyo mpya, amepatikana baada ya kuchaguliwa na Ba... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More