KICHUYA AKIIKUSANYA MISULI TAYARI KWA MSIMU MPYA SIMBA SC - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KICHUYA AKIIKUSANYA MISULI TAYARI KWA MSIMU MPYA SIMBA SC

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Shiza Kichuya ameposti picha akiwa gym anaonekana amechoka baada ya kufanya mazoezi ya kutosha. Kichuya ni miongoni mwa nyota wa Simba SC wanaotarajiwa kuondoka kesho Uturuki kwa kambi ya wiki mbili kujiandaa na msimu mpya 


Source: Bin ZuberyRead More