Kichuya alianzisha, mtamkoma! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kichuya alianzisha, mtamkoma!

MASHABIKI wa Simba wamepigwa na ganzi baada ya kulishuhudia bao tamu la kideoni straika wao wa zamani anayekipiga Yanga kwa sasa, Ibrahim Ajibu, lakini winga wao Shiza Kichuya amewatuliza akidai ameliamsha na yajayo Msimbazi yanafurahisha.


Source: MwanaspotiRead More