Kichuya ampa Himid Mao mbinu za kutoboa ENNPIA - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kichuya ampa Himid Mao mbinu za kutoboa ENNPIA

Winga wa zamani wa Simba, Shiza Kichuya amesema kwa aina ya uchezaji wa Himid Mao aliyesaini kwenye klabu ya ENNPI ya Misri aliyoichezea yeye kwa mkopo, anaamini atafanya vitu vya kustajabisha ambavyo vitamfanya afike mbali.


Source: MwanaspotiRead More