KICHUYA NA SURE BOY WALIKUWA WANAKOSEKANA STARS VITA YA KUWANIA TIKETI YA AFCON 2019 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KICHUYA NA SURE BOY WALIKUWA WANAKOSEKANA STARS VITA YA KUWANIA TIKETI YA AFCON 2019

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
KOCHA Mnigeria, Emmanuel Amunike ametaja kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kwa ajili ya mchezo dhidi ya Lesotho katikati ya mwezi huu kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon.
Amunike ameongeza wachezaji wawili tu, viungo Shiza Kichuya na Salum Abubakar ‘Sure Boy’ katika kikosi hicho cha Taifa Stars ambacho kitamfuata  Mamba wa Lesotho Novemba 18, mwaka huu Uwanja wa Setsoto mjini Maseru katika mchezo wa Kundi L kufuzu AFCON ya mwakani.
Bila shaka, Kichuya ni mbadala wa Farid Mussa wa timu B CD Tenerife ya Hispania ambaye kwa sasa kidogo kiwango chake kimeshuka kutokana na kukosa mechi za ushindani kama ilivyokuwa nyumbani, ingawa anajengwa vizuri zaidi kisoka Ulaya.

Shiza Kichuya ni mchezaji aliyekuwa anakosekana Taifa Stars ya kocha Emmanuel Amunike

Na hapana shaka winga huyo wa zamani wa Barcelona na Nigeria, Amunike amemchukua Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kuziba pengo la kiungo mwenzake wa Azam FC, Frank Doma... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More