Kifafa ugonjwa unaotaabisha wakazi Wilaya ya Ulanga - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kifafa ugonjwa unaotaabisha wakazi Wilaya ya Ulanga

GODLUCK Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) amesema kuwa, Wilaya ya Ulanga inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa kifafa Tanzania na duniani. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mlinga ametoa kauli hiyo leo bungeni wakati akiuliza swali la nyongeza. Alitaka kujua, ni lini serikali itaweza kutoa dawa za kutosha kwa wagonjwa wa kifafa katika wilaya hiyo ...


Source: MwanahalisiRead More