Kigogo Yanga ajilipua Msimbazi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kigogo Yanga ajilipua Msimbazi

NI kweli kwa sasa Simba wapo vyema kiuchumi kuliko Yanga, lakini bosi wa zamani wa klabu hiyo Abdul Sauko ameibuka na kudai kuwa watani zao ni wepesi tu na ndio maana wamekuwa na matokeo ya kuungaunga zaidi kuliko Jangwani ambao wameyumba kiuchumi.


Source: MwanaspotiRead More