KIGOMA YASHIKA NAFASI YA PILI KITAIFA KUWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KIGOMA YASHIKA NAFASI YA PILI KITAIFA KUWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

Na Editha Karlo,blog ya jamii,Kigoma
MKOA wa Kigoma wapiga hatua Katika kuwezesha wananchi wake kiuchumi
mkakati ulioanzishwa na Serikali wa kuwainua wananchi kiuchumi na kuboresha maisha ya wananchi kwa ujumla, umeonekana kuzaa matunda makubwa katika Mkoa wa Kigoma kwa kuinua pato la uchumi kibiashara na shuguli za ujasiliamali kwa wanaume, wanawake na vijana.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brig. Jen. Mstaafu Emanuel Maganga ameyasema hayo leo wakati akikabidhiwa kombe na cheti cha ushindi kwa nafasi ya pili Kitaifa Katika kuwezesha wananchi kiuchumi katika ukumbi wa utamaduni Wilayani Kasulu.Maganga alisema kuwa juhudi kubwa ambazo zimefanywa na Serikali ya Mkoa wa Kigoma ni kusimamia na kuwawezesha wananchi kiuchumi ikiwa pamoja na kutoa mikopo, kuwapa elimu na mafunzo ya Ujasiliamali wanachi kupita Mabaraza ya Biashara ya Wilaya.
Afisa wa Dawati la Uwezeshaji Kiuchumi la Mkoa wa Kigoma (RECO) Deogratias Sangu ameeleza mafanikio ya kushika nafasi ya pili yametokana na kukidhi vigezo Kat... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More