KIGWANGALLA AFUTURISHA WABUNGE DODOMA, ASISITIZA UPENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KIGWANGALLA AFUTURISHA WABUNGE DODOMA, ASISITIZA UPENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akimkaribisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai nyumbani kwake kwa ajili ya kujumuika na wabunge wengine kwenye hafla ya futari aliyoiandaa kwa ajili yao nyumbani kwake Jijini Dodoma.Mbunge wa Viti Maalum, Janeth Massaburi akimuombea dua Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla katika hafla ya futari aliyoiandaa jana kwa ajili ya wabunge nyumbani kwake Jijini Dodoma.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson kwanye hafla ya futari aliyoiandaa kwa ajili ya wabunge nyumbani kwake Jijini Dodoma.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Mama Salma Kikwete kwenye hafla ya futari aliyoiandaa kwa ajili ya wabunge nyumbani kwake Jijini Dodoma.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (wa tatu kulia) akizungumza na ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More