Kiharusi chamlaza bingwa wa Olimpiki - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kiharusi chamlaza bingwa wa Olimpiki

Mwanariadha Michael Johnson, bingwa mara nne wa Olimpiki wa mbio za mita 200 na 400, ameanza kupata ahueni baada ya kupatwa na kiharusi.


Source: MwanaspotiRead More