Kijana Kaliss aliyeamini kufanya makubwa kwenye tasnia ya Bongo fleva aachia video ya wimbo wake ‘Sisemi’ (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kijana Kaliss aliyeamini kufanya makubwa kwenye tasnia ya Bongo fleva aachia video ya wimbo wake ‘Sisemi’ (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Kaliss ambaye bado ni msanii anayechipukia ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘Sisemi’.Msanii huyu anaamini atafanya mambo makubwa sana kweny tasnia ya Bongo Fleva anawaomba Watanzania wamsapoti kwenye kazi zake. Wimbo huu umefanywa na Producer mkubwa kabisa wa hapa nchini T Touch kupitia Studio yake ya Touch Sound, na Video yake kufanywa na Director Ivan.By Ally Juma.


The post Kijana Kaliss aliyeamini kufanya makubwa kwenye tasnia ya Bongo fleva aachia video ya wimbo wake ‘Sisemi’ (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More