kijembe cha Steve Kilimlenga Hamisa Mobeto. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

kijembe cha Steve Kilimlenga Hamisa Mobeto.

Kama siku mbili nyuma kuna habari ya Steve Nyerere kuongelea mambo ya uchawi na ushirikina ilisambaa sana katika mitandao ya kijamii huku steve akisema kuwa mchawi mkubwa pekee ni mungu tu na wala sio binadamu kama watu walivyozoea.


Lakini katika kukaa saa na kuchunguza steve nyerere pia alisema kuwa ” wanawake wengi sana  wanaamini kuwa hawawezi kufanikiwa mpka wapate wanaume wenye pesa na wengine udirki hata kwenda kwa waganga wa kienyeji ili kupata wanaume hao wanaowahitaji


Kwa trending ya habari  ya wiki iliyopita habari kubwa iliyokuwepo katika mitandao ilikuwa ni swala la ushirikina ambalo alihusishwa hamisa mobeto na familia ya Diamond Platinumz huku ikisemekana kuwa hamisa amekuwa akimloga diamond ili aendelee kumpenda na kumpa pesa.


Swali linakuja je, kauli ya Steve nyerere haikuwa ni kijembe  kilicholenga kusistiza habar za uchawi za hamisa mobeto, na kwanini yamesemwa hayo baada ya kuvuma kwa skendo ya uchawi kwa hamisa Mobeto.


Yawezekana huo ni msumari wa moto stev... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More