KIKAO CHA RAIS DKT.MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA KUTOKA WILAYA ZOTE NCHINI NA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA LA TAIFA IKULU KATIKA PICHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KIKAO CHA RAIS DKT.MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA KUTOKA WILAYA ZOTE NCHINI NA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA LA TAIFA IKULU KATIKA PICHA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wakisimama wimbo wa Taifa ulipopigwa mwanzo wa mkutano wake na  Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.  Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Kikao chao na Rais  katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.  Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Kikao chao na Rais  katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.  Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kw... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More