KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju (aliyesimama) akifungua kikao kazi cha kupitia rasimu ya taarifa ya nchi chini ya mkataba wa umoja wa mataifa wa haki za watu wenye ulemavu, kulia kwake ni Kaimu Kamishna Idara ya walemavu ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Josephine Lyenga. Wengine ni Afisa Mipango Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Walemavu Bw. Abushir Said Khatib (kushoto) Mwingine ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Haki za Binadamu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Nkasori Sarakikya. Kikao hicho cha siku mbili kimeanza leo (6/12/2018) kinafanyika Morena Hotel Mkoani Dodoma.Baadhi ya washiriki wa kikao kazi kazi cha kupitia rasimu ya taarifa ya nchi chini ya mkataba wa umoja wa mataifa wa haki za watu wenye ulemavu wakimsilikiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju alipokuwa anafungua kikao hicho.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao kazi cha kupitia rasimu ya... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More