Kikosi cha Malkia Strikers kinachoenda Japan hadharani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kikosi cha Malkia Strikers kinachoenda Japan hadharani

Katika kikosi hicho kilichosheheni nyota kibao akiwemo Nahodha Mercy Moim, Trizah Atuka na Jane Wacu, Munala amewajumuisha wachezaji wawili wapya ambao ni Lorine Chebet na Sharom Chepchumba


Source: MwanaspotiRead More