KIKWETE AWATAKA VIJANA KUTOJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KIKWETE AWATAKA VIJANA KUTOJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA

Na Shushu Joel,ChalinzeVIJANA wengi nchini wamejikuta wakikumbana na changamoto nyingi katika utafutaji wa maisha katika jamii zao na kupelekea kundi jingine kujiunga katika matumizi hatari ya utumiaji wa madawa ya kulevya na hivyo hata taifa kukosa vijana wa kuitumikia serikali yao.
Kukithili kwa vitendo vya uvutaji wa bangi vijiweni kunasababishwa na wazazi walio wengi kwa kutojenga tabia ya kuwakanya watoto wao pindi wanapokuwa wadogo na hata inapotokea watoto wao kupewa hadhabu ya viboko na walimu au watu wengine wazazi wamekuwa wakiwaijua juu wale waliojitokeza kuwakanya watoto hao.
Akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Chalinze katika mahafari ya shule hiyo mbunge wa jimbo hilo Ridhiwani Kikwete amewataka vijana kutokaa vijiweni na watu walioshindikana kwani watawashawishi vibaya na hata kuwataka waweze kujiunga katika makundi ambayo si mazuri.
Alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakishawishiwa na watu wenye nia mbaya na vijana ili kuwaona tu na wao wanaharibika kwa kufuata ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More