KILI QUEENS WAKIFURAHIA MAISHA KIGALI BAADA YA KIPIGO CHA RWANDA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KILI QUEENS WAKIFURAHIA MAISHA KIGALI BAADA YA KIPIGO CHA RWANDA

Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens, kutoka kulia Fatuma Issa 'Fetty Densa,' Fatuma Hatibu 'Foe', Fatuma Issa 'Didier Fetty' na Evelline Sekikubo ...sawa? wakifurahia kwenye bwawa la kuogelea la hoteli ya Hilltop mjini Kigali, Rwanda ambako wapo kwa ajili ya michuano ya CECAFA Challenge. Kilimanjaro Queens watacheza mechi ya pili kesho dhidi ya Kenya, wakitoka kufungwa 1-0 na wenyeji, Rwanda kwenye mechi ya kwanza 


Source: Bin ZuberyRead More