Kilichomkera JPM kwa Makamba hiki hapa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kilichomkera JPM kwa Makamba hiki hapa

MIONGONI mwa sababu za January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kung’olewa kwenye nafasi hiyo, zimetajwa. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza kwenye hafla ya kuwaapisha George Simbachawene (Mazingira) na Hussein Bashe (Kilimo), leo tarehe 22 Julai 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais John Magufuli ameeleza kukerwa ...


Source: MwanahalisiRead More