KILIMANJARO SAR YATOA MAFUNZO YA HUDUMA YA KWANZA KWA WAONGOZA WATALII ZAIDI YA 500. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KILIMANJARO SAR YATOA MAFUNZO YA HUDUMA YA KWANZA KWA WAONGOZA WATALII ZAIDI YA 500.

Mtaalamu wa huduma ya kwanza kwa Magonjwa ya Mlima kutoka kampuni ya Utafutaji na Uokoaji ya Kilimanjaro SAR, Paul Gloy akionesha waongoza watalli namna ambavyo unaweza okoa maisha ya mtu aliyepata changamoto akiwa katika muinuko . Mtaalamu wa Magonjwa ya Dharura na Uokoaji kutoka kampuni ya Kilimanjaro SAR,Dkt Hussein Abrodha akizungumza wakati akitoa mafunzo kwa waongoza watalii jijini Arusha.  Baadhi ya Waongoza Watalii wakifuatilia mafunzo katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya Rose Garden jijini Arusha .  Mtaalamu wa Masoko wa Kampuni ya Utafutaji na uokoaji ya Kilimanjaro SAR ,akizungumza wakati wa mafunzo hayo.Baadhi ya Washiriki  Mtaalamu wa Huduma ya Kwanza wa Kampuni ya Kilimanjaro SAR ,Paul Gloy akiwalekeza waongoza Watalii namna ya kumhudumia mtu aliyepata changamoto ya kuvunjika Mguu. Baada ya kupata mafunzo kutoka kwa Wataalamu wa Kampuni ya Utafutaji na Uokoaji ya Kilimanjaro ,Waongoza Watalii wakionesha namna ya kumhudumia mtu aliyepata changamoto ya kuvunjika uti wa ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More