Kimbunga Florence chaanza kupiga Marekani, huenda kikawaua watu wengi Marekani - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kimbunga Florence chaanza kupiga Marekani, huenda kikawaua watu wengi Marekani

Maafisa wameonya kwamba huenda mawimbi makubwa ya kutoka baharini na mvua kubwa vikaathiri maeneo ya North na South Carolina, huku kimbunga hicho kikielekea maeneo ya bara.


Source: BBC SwahiliRead More