Kinda wa Chelsea ataka kurithi jezi ya Hazard - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kinda wa Chelsea ataka kurithi jezi ya Hazard

KINDA wa Chelsea, Callum Hudson-Odoi ameripotiwa kutaka apewe jezi yenye namba 10 inayovaliwa na Eden Hazard kwenye timu hiyo ikiwa ni sehemu ya masharti yake ili asaini mkataba mpya wa kubaki Stamford Bridge.


Source: MwanaspotiRead More