Kinondoni tutafanya Bonge la Collabo hapa Ruge pale Diamond’ Mtulia - Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kinondoni tutafanya Bonge la Collabo hapa Ruge pale Diamond’ Mtulia

Alikuwa Mbunge Kinondoni akaacha Maulid Mtulia sasa anagombea tena katika Jimbo hilo ikiwa saivi  anagombea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) February 16, 2018 alifunga kampeni katika uchaguzi unaofanyika leo. Akinadi sera zake amewataka Wakazi wa Kinondoni kumuamini na ataboresha Maisha ya wananchi ikiwa ni kuwapa mikopo ya aina mbalimbali, nimekusogezea Dakika 5 za Mtulia akiwa […]


Source: Millard AyoRead More