KINYOZI WA MBAGALA AJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KINYOZI WA MBAGALA AJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI

PROMOSHENI ya shinda zaidi na SportPesa imeanza kwa kasi na safari hii mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam amejishindia Bajaj mpya baada ya kubashiri na SportPesa.
Abdallah Selemani Ally (29), ambaye ni kinyozi amekuwa mshindi wa pili wa Bajaj mpya kutoka SportPesa baada ya kubashiri na kuingia kwenye droo iliyochezeshwa kwenye ofisi za kampuni hiyo.  
Akiongea mara baada ya ushindi huo, Ally amesema alikuwa na ndoto ya kushinda Bajaj tangu promosheni iliyopita.  
"Nimefurahi sana kushinda na SportPesa nilianza kucheza na SportPesa miezi tisa iliyopita na tangu Promosheni Ya Mwanzo ya Bajaji nilipambana kakini Sikushinda" alisema Ally.
Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas (kushoto) akizungumza  

“Ila kweli kutokata tamaa kuna faida kwa sababu sikutegemea kabisa kama ningeshinda mwanzoni kwenye promosheni hii" aliongeza Ally.  Promosheni ya shinda zaidi na SportPesa itaendelea kwa siku mia moja ambapo watu wanaobashiri na SportPesa wataingia moja kwa moja ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More