Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri aja na mbinu mpya ya kuishambulia Marekani - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri aja na mbinu mpya ya kuishambulia Marekani

Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri  amewataka Waislamu duniani kote waungane na kutangaza vita dhidi ya Marekani kwani taifa hilo ndio adui mkubwa wa Uislamu duniani.


Kushoto ni Kiongozi wa zamani wa kundi la Al-Qaeda, Marehemu Osama Bin Laden akiwa na kiongozi wa sasa wa kundi hilo Ayman al-Zawahiri

Kupitia video iliyorekodiwa kwa dakika 30 na kutolewa na kundi hilo mtandaoni, inamuonesha Ayman al-Zawahiri akimshutumu Rais wa Marekani, Donald Trump kuwa ndiye mtu hatari zaidi katika kuudhoofisha uislamu mashariki ya kati.


Amesema Marekani imeisaidia Israel kuchukua mji wa Yerusalemu ambao yeye amedai kuwa ni mji halali wa Palestina, hatua ambayo imesababisha Wapalestina wengi ambao ni Waislamu kuteseka na kuuawa na Wayahudi.


Marekani imekuwa adui mkubwa wa kwanza wa Uislamu, ingawaje nchi hiyo serikali yake haifungamani na dini yoyote lakini sera nyingi zinaonekana kuiangamiza dini yetu, nawaomba Waislamu duniani kote tuungane“amekaririwa Ayman al-Zaw... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More