Kipigo cha mvuruga kocha wa JS Saoura - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kipigo cha mvuruga kocha wa JS Saoura

KIPIGO cha bao 3-0 kutoka kwa Simba, kimemvuruga Kocha Mkuu wa JS Saoura, Nabil Neghiz, hali iliyompelekea kushusha lawama kwa mwamuzi wa mchezo na wanahabari kutoka Tanzania kuwa waliwaondoa mchezoni. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Kocha huyo alisema kuwa katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, walistahili kupata penalti baada ya mchezaji wake kuangushwa ...


Source: MwanahalisiRead More