Kipigo cha Simba chawatibua Mbabane Swallows - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kipigo cha Simba chawatibua Mbabane Swallows

Mabao ya mapema ya Simba yaliwafanya benchi la ufundi la Mbabane kufanya mabadiliko kw akumtoa beki Sifiso Mabila na kuingia Tarawallie Sallieu ambaye baada ya kutoka dimbani alianza kurumbana na benchi la ufundi kisha akasusa na kwenda vyumba vya kubadilishia nguo.


Source: MwanaspotiRead More