Kisa Bafana Bafana: Rais FA Misri ajiuzulu, kocha atimuliwa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kisa Bafana Bafana: Rais FA Misri ajiuzulu, kocha atimuliwa

Uamuzi huo mgumu umekuja saa chache baada ya wenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa Afrika,Misri kutolewa kwa mshtuko na Afrika Kusini katika mchezo wa hatua ya mtoano ya 16 bora.


Source: MwanaspotiRead More