Kisa cha Panya, Kuku, Mbuzi na Ng’ombe - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kisa cha Panya, Kuku, Mbuzi na Ng’ombe

NYUMBANI kwa mwanadamu uliwekwa mtego wa panya, lengo likiwa kumnasa panya. Anaandika Babu Jongo … (endelea). Panya alipoona mtego akamuambia kuku amsaidie kuutegua, kuku akakataa, akasema hakutegwa yeye kwa hiyo haumuhusu. Panya akamfuata mbuzi, akamwambia amsaidie kuutegua, mbuzi akasema haumuhusu kwa kuwa hakutegwa yeye. Panya hakukata tamaa, akamfuata ng’ombe akamuomba amsaidie kuutegua mtego, akiamini nguvu za ...


Source: MwanahalisiRead More