Kisa Hamisa, Mange Kimambi Awashambulia Esma Na Mama yake . - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kisa Hamisa, Mange Kimambi Awashambulia Esma Na Mama yake .

Baada ya kuibukakwa tuhuma za uchawi kutoka kwa mwanadada Hamisa Mobeto kuwa amekuwa aikiiloga familia ya Diamond Platinumz, mwanaharakati mashghuli Mange Kimambi aliamua kuingilia kati swala hilo na kuamua kumtetea Hamisa dhidi ya wanafamilia ya Diamond.


Mambo yanazidi kuwa mambo baada ya Mange kuamua kuituka familia ya diamond na ndipo familia hiyo hasa dada wa Diamond alipoamua kujibizana na Mange katika mitandao ya kijamii.siku ya jana ilizid kuchafuka katika ukurasa wa instagram baadaya wawili hao kuingia katika ligi ya kutukanana matusi huku kila mmoja akijitaidi kutetea upande wake.


Kwa upande wa Mange anasema kuwa familia hiyo haukupaswa kumtuka hamisa ukizingatia wamekuwa wakimsema kuwa kila mtoto ana baba yake ilhali hata esma nae ana watoto ambao kila mtu na baba yake.


Hata hivyo Mange anaendelea kutoa siri kuwa kutokana na maswala ya uchawi ndio maana hata aliwahi kumuua mtoto wake wa kwanza ambae watu wengi hawakuwahi kumjua alipokuwa akiumwa na kushindwa kumpelea hospital... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More