Kisa kiwango: Kamusoko aipasua Jangwani kweupe - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kisa kiwango: Kamusoko aipasua Jangwani kweupe

Awali Yanga ilikuwa imemweka kwenye orodha ya nyota wa kigeni wa kutemwa kikosini, lakini Kamusoko ameonyesha moto katika mechi za mwisho za Ligi Kuu Bara kiasi cha kuitwa timu yake ya taifa, The Mighty Warriors walipo Misri kwa fainali za Afcon.


Source: MwanaspotiRead More