Kisa pesa ya Mh Makonda, Fid q na Hanscana Wajibizana Mtandaoni - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kisa pesa ya Mh Makonda, Fid q na Hanscana Wajibizana Mtandaoni

Msanii fid q na mtayarishaji wa muziki nchini Hanscana wamejikutwa wakijibizana katika tandao wa instagram kwa sababu ya pesa ya Mh Makonda ambayo alikabithiwa Fid q kwa ajili ya kumkabithi ma a yake na God zilla.


Baada ya Fid q kukabidhi pesa hiyo kwa mama yake na marehemu aliamua uweka video clip ambayo ilikuwa ikumuonyesha mama huyo akishukuru na kutao sala wa Mh Makonda kwa uamuzi wake wa kuamua kumsaidia.


Hata hivyo baada ya kuiona video hiyo hanscana alitoa povu na kusema kuwa kwake hata ama atakufa na kumuona mama yake akikabidhiwa pesa hivyo na kurekodiwa hatokaa hafurahi kitendo icho huko atakapokuwa.


Kwa kutumia ustaarabu wae nae Fid Q aliamua ujibu kwanii aliamua kuweka video hiyo ktaika mtandao wa kujiamii huku akisema kuwa kufanya hivyo kunaongeza uaminifu na hamasa kwa wale wanaotaka kusaidia kwa sababu kuna baadhi ya rambirambi huwa haziwafikii walengwa. 


The post Kisa pesa ya Mh Makonda, Fid q na Hanscana Wajibizana Mtandaoni appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More