Kisa Samatta, Haji Manara afunguka mazito ‘Ajibu matiktaka yako tunataka tuyaone Wembley au Allianz Arena’
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa mshambuliaji hatari wa klabu ya KRC Genk na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta kuhitajika na timu za England afisa habari wa Simba, Haji Manara amewataka wachezaji wazawa wanaoshiriki ligi kuu nchini kutobweteka na badala yake kufata nyazo za nyota huyo kwa maslahi mapana kabisa ya kwao binafsi, familia, vilabu na taifa kwa ujumla.
Afisa habari wa Simba, Haji Manara
Manara ameyaandika hayo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram huku akiwataja baadhi ya nyota wazawa bila kujali klabu zao wanazotumikia akiwemo Ibrahim Ajibu wa Yanga, Adam Salamba wa Simba, Mohamed Hussein na wengine.
Bao la tiktaka la Ibrahim Ajibu wa Yanga dhidi ya Mbao FC
@official_mohamedhussein15@ibrahimajiibu23 @jonasmkude20@ndemla13 @kichuya_ @gardiel_mbaga2@feisal_salim @kev_sabato_kiduku255@yahya_zaid52 @adamsalamba na Wachezaji wengine wa kitanzania lazma muwe na jealous kwa hayo ya @samagoal77..inawezekena kabisa wengine mpo more talented kuliko... Continue reading ->