KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO

 Na Khadija Seif,Globu  ya jamii  MWENYEKITI Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) katika Tawi la Oysterbay Dar es Salaam  Donald Kisanga ameendesha uchaguzi wa chipukizi huku akiwaomba wazazi kuruhusu watoto kushirikia kikamilifua.
Amesema chipukizi wanafundishwa mambo mbalimbali yenye maslahi kwa nchi yao yakiwamo ya  uzalendo,uadilifu,kuwa imara na ukakamavu katika kulijenga ,kulitetea na kupigania  kwa maslahi ya Taifa la  Tanzania.
Kisanga amesema hayo leo jijini Dar es Salaam ambapo pia amepongeza juhudi na mikakati inayofanywa na Serikali chini ya Rais Dk.John Magufuli katika kuwatumikia Watanzania.
Pia Kisanga ametumia nafasi hiyo kutoa rai kwa wananchi kutunza na kulinda mazingira na kutoa taarifa pindi wanapoona wahalifu wanaingia kwenye makazi kwani vitendo hivyo lazima vikomeshwe ili kuwepo na amani 
Kisanga pia amezungumzia jitihada zinazofanywa na Serikali ya CCM katika kutoa mikopo ambapo  imeweza kutoa mikopo kwa wananchi ambao wanatakiwa kuunda ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More