KISHINDO YAMLETA TENA IRENE ROBERT KWENYE MUZIKI WA INJILI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KISHINDO YAMLETA TENA IRENE ROBERT KWENYE MUZIKI WA INJILI

  Na Hadija SeifMSANII wa Muziki wa Injili nchini Irene Robert adondosha Mkwaju mpya kwa shabiki zake, ikiwa na bada ya kukamata anga la Muziki la Injili Tanzania na Nje ya Mipaka kwa wimbo wake uitwao "Kishindo".
Sasa ameshusha wimbo Mpya na video Uitwao Tembea, ambao ni wimbo wake wa nne kuachia baada ya kuachia "Unashuka",  "Nianze na wewe",  na sasa "Kishindo".
Irene ni mwimbaji ambaye amepata mafanikio kwa haraka sanaa kutokana na kufanya kazi nzuri za kiwango Cha juu sana.
Kazi ya video imefanywa na Enxer na audio ikifanyika pale Masai Record chini ya producer Yusuph Manamba akiwa  chini ya Lebo ya Famara Promotion.
Ni mwimbaji aliyejishusha kwa Unyenyekevu na anatamani kwenda kimataifa zaidi. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More