Kisukari, Saratani yapunguziwe mzigo wa matibabu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kisukari, Saratani yapunguziwe mzigo wa matibabu

MBUNGE wa Viti Maalum (CUF), Rukia Ahmed ameitaka serikali kuwaondolewa ukali wa gharama za matibabu, waathirika wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza hasa kisukari na saratani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Rukia ametoa wito huo wakati akiuliza swali kwa Wizara ya Afya, akisema kuwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ikiwemo kisukari na saratani matibabu yake yamekuwa ghali ...


Source: MwanahalisiRead More