Kiswahili kuwa lugha ya kwanza Afrika kutambuliwa Twitter - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kiswahili kuwa lugha ya kwanza Afrika kutambuliwa Twitter

Kiswahili hivi karibuni kinatarajiwa kuwa lugha ya kwanza kutoka bara la Afrika kutambuliwa na mtandao wa kijamii, Twitter kwa watumiaji wake kote duniani. Watumiaji wa Twitter duniani kote wataweza kutafsiri taarifa (tweets) zilizowekwa kwa lugha mbalimbali kwenda kwenye Kiswahili ambacho kinazungumzwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki. Hili limekuja baada ya jukwaa la kwenye mtandao [...]


The post Kiswahili kuwa lugha ya kwanza Afrika kutambuliwa Twitter appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More