KITAMBI NOMA YATWAA UBIGWA BONANZA LA PASAKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KITAMBI NOMA YATWAA UBIGWA BONANZA LA PASAKA


Na woinde Shizza ,Michuzi TV Arusha
Timu kitambi noma ya jijini Arusha imefanikiwa kuutwaa ubigwa na kuondoka na kombe Mara baada ya kuichapa timu ya Moshi veteran bao 1 kwao.
Hayo yote yalijiri Jana katika fainali ya bonanza la pasaka lililoandaliwa na timu ya kitambi noma ya jijini hapa ambapo katika bonanza hilo timu zaidi kumi imeshiriki zikimo za ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi.
Timu ambazo zimeshiriki bonanza hill no pamoja na Moshi veteran ,mango garden veteran ya jijini dar es salaam, lushoto veteran ,Nairobi west ya Kenya ,Green Yard ya Kenya ,Sua Veterans ya Morogoro,Paris Fc Wa Nair obi, Makabe veterans pamoja na Arusha Coaches.
Akiongelea mashindano hayo Mwenyekiti Hamis Tembele alisema kuwa wameandaa mashindano haya kwa nia ya kukutanisha wadau na kubadilishana ,ujuzi ,biashara pamoja na undugu .
Alisema mashindano haya yanashindikisha Wazee ambao ni maveteran kutoka sehemu mbalimbali Wa ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi.
Kwa upande wake msemaji Wa klabu ya kitambi ... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More