KItengo cha kusaka masoko ya nje ya mazao chaanzishwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KItengo cha kusaka masoko ya nje ya mazao chaanzishwa

SERIKALI imeanzisha kitengo maalum cha kitakachowezesha kupatikana kwa masoko sahihi ndani na nje ya nchi ili kuwafanya wakulima kutozalisha kwa mazoea bali kwa faida. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba amesema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakilima mazao kwa mazoea tena baada ya kuona wakulima wenzao wameuza sana na kupata faida ...


Source: MwanahalisiRead More