Kitila Mkumbo atembelea mradi wa maji Nyahiti wilayani Misungwi - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kitila Mkumbo atembelea mradi wa maji Nyahiti wilayani Misungwi

 Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Jiji la Mwanza (MWAUWASA) Mhandisi Anthony Sanga (kushoto) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (katikati) jana alipotembelea mradi wa maji Nyahiti wilayani Misungwi. Kulia ni Mbunge wa Misungwi Charles Kitwanga. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Jiji la Mwanza (MWAUWASA) Mhandisi Anthony Sanga (kushoto) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (katikati) jana alipotembelea mradi wa maji Nyahiti wilayani Misungwi. Kulia ni Mbunge wa Misungwi Charles Kitwanga.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (katikati) wa pili kutoka kulia kipata ufafanuzi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mwauwasa, Mhandisi Anthony Sanga (wa tatu kutoka kushoto) kuhusu mradi wa chanzo cha maji cha Nyahiti  jana alipotembelea mradi huo Kushoto wa pili ni Mbunge wa Misungwi Charles Kitwanga.  Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Ki... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More