Kitilya na wenzake sasa huru, wakamatwa tena - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kitilya na wenzake sasa huru, wakamatwa tena

BAADA ya kusota mahabusu ya Magereza kwa miaka mitatu, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitiyla na wenzake, hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru leo tarehe 11 Januari, 2019. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Watuhumiwa wengine katika kesi hiyo ni Shose Sinara, Mkuu wa Idara ya Uwekezaji wa Benki ...


Source: MwanahalisiRead More