Kitu Hichi Kimoja Kitakuwezesha Kuuza Zaidi Kwenye Biashara Yako Hata Kama Wewe Siyo Muuzaji Mzuri. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kitu Hichi Kimoja Kitakuwezesha Kuuza Zaidi Kwenye Biashara Yako Hata Kama Wewe Siyo Muuzaji Mzuri.

Rafiki yangu mpendwa, Kama upo ujuzi mmoja ambao kila mtu anapaswa kuwa nao ili kufanikiwa kwenye maisha, basi ni kuuza. Wale wanaofanikiwa kwenye maisha yao ni wale ambao wanaweza kuuza vizuri kuliko wengine. Na siyo lazima kuwa kuuza kwenye biashara, bali kuuza ujuzi na uzoefu, kuuza maneno, kuuza mipango na mengine mengi. Ili kuweza kumshawishi... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More