KIULAINI: Simba kama inanawa ubingwa ligi kuu bara - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KIULAINI: Simba kama inanawa ubingwa ligi kuu bara

USHINDI wa mabao 2-0 dhidi ya Ndanda FC juzi Jumapili kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, umeirahisishia Simba mbio za ubingwa wa Ligi Kuu kwani baada ya kutimiza pointi 88, sasa inahitaji pointi mbili tu katika mechi zake tatu zilizosalia ili itwae kombe.


Source: MwanaspotiRead More