Kiungo mpya aitikisa Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kiungo mpya aitikisa Yanga

MCHANA wa jana Jumatano, mabosi wa Yanga waliitana faragha na meneja wa kiungo Kenny Ally ili kujadili dili la kumsainisha atue Jangwani, lakini mpango ulitibuka baada ya pande mbili kushindwa kuafikiana, huku mwenyewe akifungua alivyojipanga.


Source: MwanaspotiRead More