Kiwanda cha Kuunga Trekta Chawakomboa Wakulima Wadogo - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kiwanda cha Kuunga Trekta Chawakomboa Wakulima Wadogo

Trekta aina ya URSUS likiendelea na kazi yakulima mashamba ya wakulima katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro.Kazi ya uunganishaji matrekta katika Kiwanda cha Kuunganisha Trekta kilichopo Kibaha mkoani Pwani ikiendelea ikiwa ni juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano kufufua na kukuza sekta ya Kilimo hapa nchini ambapo matrekta zaidi ya 200 yameunganishwa na kuuzwa kwa wakulima mbalimbali nchini.Moja ya Trekta aina ya URSUS likiwa limekamilika. Matrekta yaliyounganishwa yakiwa tayari kuuzwa.
Sehemu ya majembe ya matrekta ya URSUS yakiwa tayari yameunganishwa Kiwandani Kibaha mkoani Pwani.Trekta aina ya URSUS likiendelea na kazi yakulima mashamba ya wakulima katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro. Mkulima kutoka Wilaya ya Gairo, Haji Salum akifanyia majaribio ya kuendesha trekta aina ya URSUS mara baada yakukabidhiwa trekta hilo alilonunua kutoka Kiwanda cha kuunganisha matrekta kilichopo Kibaha mkoani Pwani. (Picha na MAELEZO)
Na: Lilian Lundo - MAELEZO
Kiwanda cha Kuunganisha... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More