KLABU YA GOLFU YA VICTORIA YAIKABIDHI SERIKALI ENEO ILILOKUWA IKILIMIKI PEMBEZONI MWA ZIWA VICTORIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KLABU YA GOLFU YA VICTORIA YAIKABIDHI SERIKALI ENEO ILILOKUWA IKILIMIKI PEMBEZONI MWA ZIWA VICTORIA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiangalia eneo la pembezoni mwa ziwa Victoria wilayani Magu mkoani Mwanza lenye ukubwa wa ekari 94.1 lililorejeshwa serikalini na Klabu ya Gofu ya Victoria, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Magu Dkt Josephat Sengati. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika eneo la pembezoni mwa ziwa Victoria wilayani Magu mkoani Mwanza ambapo Klabu ya Gofu ya Victoria imelirejesha Serikalini . Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Magu Dkt Josephat Sengati na wa pili kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Ziwa Biswalo Misuse. Mkuu wa Idara ya Ardhi katika halmashauri ya wilaya ya Magu Wilfred Mkono (Wa pili kulia) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula wakati wa kukagua eneo lenye ukubwa wa ekari 94.1 lililoko pembezoni mwa ziwa Victoria wilayani Magu ambalo limerejeshwa Serikalini. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI) 
********* 
Na Munir S... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More