KLABU YA SIMBA WAFANYA KISOMO KUMUOMBA MUNGU MO APATIKANE AKIWA SALAMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KLABU YA SIMBA WAFANYA KISOMO KUMUOMBA MUNGU MO APATIKANE AKIWA SALAMA


*Hassan Dalali,wanachama watoa ya moyoni, wasema hivi..Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiUONGOZI wa Klabu ya Simba umeamua kufanya dua na kisomo maalumu kwa lengo la kumuomba Mwenyezi Mungu ili Mfadhili wao na mwanachama wa klabu hiyo Mohamed Dewji 'MO' apatikane akiwa salama.
Kisomo hicho kimefanyika leo mchana katika Makao Makuu ya Klabu ya Simba yaliyopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ambapo mashabiki wa Simba wameshiriki kisomo hicho. Kabla ya kisomo wameelezwa wazi lengo lao kuu ni kumuomba Mwenyezimungu aweze kuleta wepesi kwenye matatizo yaliyompata Mlezi na Mwekezaji wao Mohamed Dewji 'MO' 
Kaimu Katibu Mkuu wa Klabu ya Simba Hamis Kisiwa amesema kuwa wamekusanyika kufanya dua leo hii wakiamini Mwenyezi Mungu ndio muweza wa kila jambo na hivyo huko aliko Mohammed Dewji apatikane na arudi akiwa salama.
Amesema hayo baada ya kufanyika dua na kisomo maalumu kwa lengo la kumuomba Mungu afanye wepesi kwa kuwezesha Mo kupatikana."Wana Simba tumefanya kisomo ilo Mo aachiweakiwa salama.K... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More