Klopp amechoshwa na ubahili - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Klopp amechoshwa na ubahili

Liverpool wameamua kumwaga mahela kama Simba. Wanaaanza maisha mapya kwa sababu wamegundua maisha ya ubahili hayana tija.Neil Jones mwandishi wa tovuti ya goal.com ameainisha baadhi ya mambo muhimu kuhusu sajili za Lierpool.Kocha mkuu wa The Reds Bwana Jurgen Klopp alitanabaisha kuwa msimu uliopita hawana mpango wa kusajili. Nadhani msimu huu mabossi wa Liverpool matumbo.Baada ya mambo kwenda mrama Klopp anakiri kwamba anahitaji kushinda mataji lakini manunuzi ya miezi 7 iliyopita hayakukidhi mahitaji yake.Meneja huyu wa majogoo ya Liverpool amekuwa akisifika sana na mtindo wake wa kushambulia kwa kasi zaidi kuliko kujali mifumo ya kuzuia.Mfumo wake maarufu kama gegenpressing ulikuwa tishio sana msimu uliopita. Wazungu wenzake wanapenda kuita aina yake ya uchezaji kama ‘heavy metal football’ Anakwambia tufunge mawili tukufunge matano.Jurgen Klopp, msimu huu amegundua nini thamani ya ulinzi imara. Ujio wa Van Djik kwa mamilioni ya fedha ni dhahiri kwamba nae amegundu kuna haja ya ku... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More