KMC, Alliance wazibwaga Simba, Yanga tuzo Ligi Kuu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KMC, Alliance wazibwaga Simba, Yanga tuzo Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI Dickson Ambundo wa klabu ya Alliance Accademy na Kocha Mkuu wa KMC, Etiene Ndayiragije wameibuka vinara kwenye tuzo za mwezi Januari zinazotolewa na Bodi ya Ligi baada ya kufanya vizuri kwenye michezo yao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Ambundo ameibuka kinara kwenye tuzo hiyo baada ya kuwashinda mlinda mlango wa KMC, Juma Kaseja na mshambuliaji ...


Source: MwanahalisiRead More