KMC WAMTUPIA VIRAGO ABDULHALIM HUMUD KWA UTOVU WA NIDHAMU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KMC WAMTUPIA VIRAGO ABDULHALIM HUMUD KWA UTOVU WA NIDHAMU

     Kaimu Katibu Msaidizi wa timu ya mpira wa miguu Manispaa ya Kinondoni (KMC) Walter Harrison akizungumza na wadau pamoja na wanahabari jijini Dar es salaam kuhusu kufukuzwa kwa mchezaji wao  Abdulhalim humud
Na Khadija Seif,Globu ya jamii


Uongozi wa Klabu ya Kinondoni municipal council (KMC) umeweka wazi msimamo wao wa kumfukuza rasmi aliyekua mchezaji wao, Abdulhalim Humud. Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es salaam leo, Kaimu Katibu Msaidizi wa timu hiyo, Walter Harrison amesema mchezaji huyo amefukuzwa rasmi kutokana na utovu wa nidhamu kwa viongozi wake pamoja na wachezaji wenzake.
Harrison ameeleza kuwa, vitendo vya Humud vya utovu wa nidhamu vimekua vikijirudia mara kwa mara na kwa uongozi kushindwa kuweza kuvikabili na kulazimika kumfukuza rasmi.

"Vitendo vya utovu wa nidhamu vimekuwa vinajirudia mara kwa mara, kwa viongozi na hata wachezaji wenzake na imepelekea kushindwa kuvumulia na kulazimika kuachana nae rasmi,"amesema Harrison

Alikadhalika Humud alishawahi kua... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More